Isaya 34:14
Viumbe vya jangwani vitakutana na fisi, 2 nao mbuzi-mwitu watalia wakiitana; 1 huko viumbe vya usiku vitastarehe pia 2 na kujitafutia mahali pa kupumzika. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 13:21Lakini viumbe wa jangwani watalala huko, 2 mbweha watajaza nyumba zake, 1 bundi wataishi humo 2 nao mbuzi-mwitu watarukaruka humo. 1
Jeremiah 49:33“Hazori itakuwa makao ya mbweha, 2 mahali pa ukiwa milele. 1 Hakuna yeyote atakayeishi humo; 2 hakuna mtu atakayekaa ndani yake.” 1 Ujumbe Kuhusu Elamu
Malachi 1:3lakini nikamchukia Esau, nami nimeifanya milima yake kuwa ukiwa, na urithi wake nimewapa mbweha wa jangwani.”