Isaiah 36:22
Kisha Eliakimu mwana wa Hilkia msimamizi wa jumba la kifalme, Shebna katibu, na Yoa mwana wa Asafu, mwandishi wakamwendea Hezekia, nguo zao zikiwa zimeraruliwa, na kumwambia yale jemadari wa jeshi aliyoyasema.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ezra 9:3Niliposikia jambo hili nilirarua koti langu na joho langu, nikazingʼoa nywele za kichwa changu na ndevu zangu na kuketi nikishangaa.
Isaiah 29:2Hata hivyo nitauzunguka Arieli kwa jeshi, 2 utalia na kuomboleza, 1 utakuwa kwangu kama mahali 2 pa kuwashia moto madhabahuni. 1
Isaiah 36:3Eliakimu mwana wa Hilkia aliyekuwa msimamizi wa jumba la kifalme, Shebna aliyekuwa katibu, na Yoa mwana wa Asafu mwandishi wakamwendea.
Isaiah 37:1Mfalme Hezekia aliposikia haya, akararua nguo zake na kuvaa nguo ya gunia, naye akaenda katika Hekalu la Bwana.