Isaiah 36:21
Lakini wale watu wakakaa kimya, wala hawakujibu lolote, kwa kuwa mfalme alikuwa amewaamuru, “Msimjibu lolote.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 18:37Kisha Eliakimu mwana wa Hilkia msimamizi wa jumba la kifalme, Shebna katibu, na Yoa mwana wa Asafu, mwandishi wakamwendea Hezekia, nguo zao zikiwa zimeraruliwa, na kumwambia yale jemadari wa jeshi aliyoyasema.
Psalms 39:1Nilisema, “Nitaziangalia njia zangu 2 na kuuzuia ulimi wangu usije ukatenda dhambi; 1 nitaweka lijamu kinywani mwangu 2 wakati wote waovu wanapokuwa karibu nami.” 1
Proverbs 26:4Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, 2 ama wewe mwenyewe utakuwa kama yeye. 1
Matthew 7:6“Msiwape mbwa vitu vilivyo vitakatifu; wala msitupie nguruwe lulu zenu. Kama mkifanya hivyo, watazikanyagakanyaga na kisha watawageukia na kuwararua vipande vipande. 1 Omba, Tafuta, Bisha (Luka 11:9-13)