Isaya 37:16
“Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, uketiye juu ya kiti cha enzi kati ya makerubi, wewe peke yako ndiwe Mungu juu ya falme zote za dunia. Wewe umeumba mbingu na nchi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Naye Hezekia akamwomba Bwana akisema:
Cross References
Genesis 1:1Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia.
Deuteronomy 10:17Kwa kuwa Bwana Mungu wenu ni Mungu wa miungu na Bwana wa mabwana, Mungu mkuu, mwenye uweza na wa kutisha, ambaye hana upendeleo na hapokei rushwa.
2 Samuel 7:26ili kwamba jina lako litukuke milele. Ndipo watu watasema, ‘ Bwana Mwenye Nguvu Zote ni Mungu juu ya Israeli!’ Nayo nyumba ya mtumishi wako Daudi itakuwa imara mbele zako.
1 Kings 18:32Kwa mawe hayo, akajenga madhabahu katika jina la Bwana, na akachimba handaki kuizunguka, ukubwa wa kutosha vipimo viwili vya mbegu.
Psalms 46:7Bwana Mwenye Nguvu Zote yu pamoja nasi, 2 Mungu wa Yakobo ni ngome yetu. 1
Psalms 80:1Ee Mchungaji wa Israeli tusikie, 2 wewe umwongozaye Yosefu kama kundi; 1 wewe uketiye katika kiti cha enzi 2 katikati ya makerubi, angaza 2