Isaya 37:17
Tega sikio, Ee Bwana, usikie; fungua macho yako, Ee Bwana, uone; sikiliza maneno yote ambayo Senakeribu ametuma kumtukana Mungu aliye hai.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18“Ni kweli, Ee Bwana, kwamba wafalme wa Ashuru wameyaangamiza mataifa haya yote pamoja na nchi zao.
Cross References
2 Chronicles 6:40“Sasa, Mungu wangu, macho yako na yafumbuke na masikio yako yasikie maombi yaombwayo mahali hapa. 1
Job 36:7Yeye haondoi macho yake kwa wenye haki; 2 huwaketisha penye viti vya enzi pamoja na wafalme 2 na kuwatukuza milele. 1
Psalms 17:6Ee Mungu, ninakuita, kwa kuwa utanijibu, 2 nitegee sikio lako na usikie ombi langu. 1
Psalms 74:10Ee Mungu, mtesi atakudhihaki mpaka lini? 2 Je, adui watalitukana jina lako milele? 1
Psalms 79:12Walipize jirani zetu mara saba vifuani mwao 2 aibu walizovurumisha juu yako, Ee Bwana. 1
Psalms 130:1Kutoka vilindini ninakulilia, Ee Bwana. 2