The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 37 › Isaiah 37:35

Isaiah 37:35

“Nitaulinda mji huu na kuuokoa, 2 kwa ajili yangu mwenyewe, 2 na kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu!”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For I will defend this city to save it for mine own sake, and for my servant David’s sake.

In Context

34Kwa njia ile aliyoijia ndiyo atakayorudi; 2 hataingia katika mji huu,” 4 asema Bwana. 1

36Ndipo malaika wa Bwana akaenda, akawaua wanajeshi 185,000 katika kambi ya Waashuru. Wenzao walipoamka asubuhi yake, walikuta maiti kila mahali!

Read all of Isaiah 37

Cross References

1 Kings 11:12Hata hivyo, kwa ajili ya Daudi baba yako, sitafanya jambo hili wakati wa uhai wako. Nitaurarua kutoka mikononi mwa mwanao.

1 Kings 15:4Pamoja na hayo, kwa ajili ya Daudi, Bwana Mungu wake akampa taa katika Yerusalemu kwa kumwinua mwana atawale badala yake na kwa kuifanya Yerusalemu kuwa imara.

1 Chronicles 17:19Ee Bwana Mungu. Kwa ajili ya mtumishi wako, tena sawasawa na mapenzi yako, umefanya jambo hili kubwa sana na kujulisha ahadi hizi zote zilizo kubwa sana.

Isaiah 38:6Nami nitakuokoa wewe pamoja na mji huu mkononi mwa mfalme wa Ashuru. Nitaulinda mji huu.

Isaiah 48:9Kwa ajili ya Jina langu mwenyewe 2 ninaichelewesha ghadhabu yangu, 1 kwa ajili ya sifa zangu nimeizuia isikupate, 2 ili nisije nikakukatilia mbali. 1

Jeremiah 23:5Bwana asema, “Siku zinakuja, 2 nitakapomwinulia Daudi Tawi lenye haki, 1 Mfalme atakayetawala kwa hekima, 2 na kutenda lililo haki na sawa katika nchi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 37:35

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 37:34Isaiah 37Isaiah 37:36 →