Isaya 38:10
Nilisema, “Katika ustawi wa maisha yangu, 2 je, ni lazima nipite katika malango ya mauti, + 38:10 Mauti hapa maana yake ni Kuzimu. 2 na kupokonywa miaka yangu iliyobaki?” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Maandiko ya Hezekia mfalme wa Yuda baada ya kuugua kwake na kupona: 1
Cross References
Job 6:11“Ninazo nguvu gani, hata niendelee kutumaini? 2 Matazamio yangu ya mbele ni nini, hata niendelee kuwa mvumilivu? 1
Job 17:11Siku zangu zimepita, mipango yangu imevunjika, 2 vivyo hivyo shauku za moyo wangu. 1
Psalms 102:24Ndipo niliposema: 2 “Ee Mungu wangu, usinichukue katikati ya siku zangu; 2 miaka yako inaendelea vizazi vyote. 1
Psalms 107:18Wakachukia kabisa vyakula vyote, 2 wakakaribia malango ya mauti. 1
2 Corinthians 1:9Kwa kweli, mioyoni mwetu tulihisi tumekabiliwa na hukumu ya kifo, ili tusijitegemee sisi wenyewe bali tumtegemee Mungu afufuaye wafu.