bible.software › Isaya › Isaya 38 › Isaya 38:11
Isaya 38:11
Nilisema, “Sitamwona tena Bwana, 2 Bwana katika nchi ya walio hai, 1 wala sitamtazama tena mwanadamu, 2 wala kuwa na wale ambao sasa wanakaa katika ulimwengu huu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I said, I shall not see the LORD, even the LORD, in the land of the living: I shall behold man no more with the inhabitants of the world.
In Context
10Nilisema, “Katika ustawi wa maisha yangu, 2 je, ni lazima nipite katika malango ya mauti, + 38:10 Mauti hapa maana yake ni Kuzimu. 2 na kupokonywa miaka yangu iliyobaki?” 1
12Kama hema la mchunga mifugo, 2 nyumba yangu imebomolewa na kutwaliwa kutoka kwangu. 1 Kama mfumaji nimevingirisha maisha yangu, 2 naye amenikatilia mbali kutoka kitanda cha mfumi. 2 Mchana na usiku uliyakomesha maisha yangu. 1
Read all of Isaya 38
Cross References
Psalms 6:4Geuka Ee Bwana, unikomboe, 2 uniokoe kwa sababu ya fadhili zako. 1
Psalms 31:22Katika hofu yangu nilisema, 2 “Nimekatiliwa mbali na macho yako!” 1 Hata hivyo ulisikia kilio changu 2 ukanihurumia nilipokuita unisaidie. 1
Ecclesiastes 9:5Kwa maana walio hai wanajua kwamba watakufa, 2 lakini wafu hawajui chochote, 1 hawana tuzo zaidi, 2 hata kumbukumbu yao imesahaulika. 1
This Verse In Other Editions
Study Isaya 38:11