Isaya 38:20
Bwana ataniokoa, 2 nasi tutaimba kwa vyombo vya nyuzi 1 siku zote za maisha yetu 2 katika Hekalu la Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Isaya alikuwa amesema, “Tengenezeni dawa ya kubandika ya tini, mweke juu ya jipu, naye atapona.”
Cross References
Psalms 9:13Ee Bwana, tazama jinsi walivyo wengi adui zangu wanaonitesa! 2 Nihurumie, uniinue kutoka malango ya mauti, 1
Psalms 30:11Uligeuza maombolezo yangu kuwa kucheza, 2 ulinivua nguo za gunia ukanivika shangwe, 1
Psalms 51:15Ee Bwana, fungua midomo yangu, 2 na kinywa changu kitatangaza sifa zako. 1
Psalms 68:25Mbele wako waimbaji, baada yao wapiga vinanda, 2 pamoja nao wako wanawali wakipiga matari. 1
Psalms 116:17Nitakutolea dhabihu ya kukushukuru 2 na kuliita jina la Bwana. 1
Psalms 145:2Kila siku nitakusifu 2 na kulitukuza jina lako milele na milele. 1