Isaiah 39:1
Wakati huo Merodaki-Baladani, mwana wa Baladani mfalme wa Babeli, akamtumia Hezekia barua na zawadi, kwa sababu alikuwa amesikia habari za kuugua na kupona kwake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 8:10akamtuma mwanawe Yoramu kwa Mfalme Daudi kumsalimu na kumpongeza kwa ushindi wake katika vita dhidi ya Hadadezeri, kwa kuwa Hadadezeri alikuwa amepigana vita na Tou. Yoramu akamletea Daudi vyombo vya fedha, dhahabu na shaba.
2 Kings 20:12Wakati huo Merodaki-Baladani, mwana wa Baladani mfalme wa Babeli, akamtumia Hezekia barua na zawadi, kwa sababu alikuwa amesikia habari za kuugua kwa Hezekia.
2 Chronicles 32:25Lakini moyo wa Hezekia ukajaa majivuno na hakuonyesha itikio kwa wema aliotendewa, kwa hiyo ghadhabu ya Bwana ikawa juu yake na juu ya Yuda na Yerusalemu.
Isaiah 13:1Neno kuhusu Babeli ambalo Isaya mwana wa Amozi aliliona: 1
Isaiah 14:4utaichukua dhihaka hii dhidi ya mfalme wa Babeli: 1 Tazama jinsi mtesi alivyofikia mwisho! 2 Tazama jinsi ghadhabu yake kali ilivyokoma! 1
Isaiah 39:1Wakati huo Merodaki-Baladani, mwana wa Baladani mfalme wa Babeli, akamtumia Hezekia barua na zawadi, kwa sababu alikuwa amesikia habari za kuugua na kupona kwake.