Isaiah 39:8
Hezekia akamjibu Isaya, “Neno la Bwana ulilosema ni jema.” Kwa kuwa alifikiri, “Patakuwepo amani na usalama wakati wa uhai wangu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 10:3Kisha Mose akamwambia Aroni, “Hili ndilo alilonena Bwana wakati aliposema: 1 “ ‘Miongoni mwa wale watakaonikaribia 2 nitajionyesha kuwa mtakatifu; 1 machoni pa watu wote 2 nitaheshimiwa.’ ” Aroni akanyamaza.
2 Samuel 15:26Lakini kama yeye atasema, ‘Mimi sipendezwi nawe,’ basi mimi niko tayari; yeye na anifanye chochote aonacho chema kwake.”
2 Chronicles 34:28Basi nitakukusanya kwa baba zako, nawe utazikwa kwa amani. Macho yako hayataona maafa yote nitakayoleta juu ya mahali hapa na juu ya wote wanaoishi hapa.’ ” Kwa hiyo wakampelekea mfalme jibu lake. 1 Yosia Afanya Agano La Kutii (2 Wafalme 23:1-20)
Psalms 39:9Nilinyamaza kimya, 2 sikufumbua kinywa changu, 2 kwa sababu wewe ndiwe uliyetenda hili. 1
Lamentations 3:39Mwanadamu yeyote aliye hai aweza kulalamika 2 wakati anapoadhibiwa kwa ajili ya dhambi zake? 1
Zechariah 8:19Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Saumu za miezi ya nne, tano, saba na kumi itakuwa sikukuu za furaha na za shangwe kwa Yuda. Kwa hiyo uipende kweli na amani.”