Isaiah 40:16
Lebanoni hautoshi kwa moto wa madhabahuni, 2 wala wanyama wake hawatoshi kwa sadaka za kuteketezwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Lebanon is not sufficient to burn, nor the beasts thereof sufficient for a burnt offering.
In Context
17Mbele yake mataifa yote ni kama si kitu, 2 yanaonekana yasio na thamani 2 na zaidi ya bure kabisa. 1
Cross References
Psalms 40:6Dhabihu na sadaka hukuvitaka, 2 lakini umefungua masikio yangu; + 40:6 Au: bali mwili uliniandalia. 1 sadaka za kuteketezwa na sadaka za dhambi 2 hukuzihitaji. 1
Micah 6:6Nimjie Bwana na kitu gani na kusujudu 2 mbele za Mungu aliyetukuka? 1 Je, nije mbele zake na sadaka za kuteketezwa, 2 nije na ndama za mwaka mmoja? 1