Isaiah 40:17
Mbele yake mataifa yote ni kama si kitu, 2 yanaonekana yasio na thamani 2 na zaidi ya bure kabisa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
All nations before him are as nothing; and they are counted to him less than nothing, and vanity.
In Context
18Basi, utamlinganisha Mungu na nani? 2 Utamlinganisha na kitu gani? 1
Cross References
Job 25:6sembuse mtu ambaye ni funza: 2 mwanadamu ambaye ni buu tu!”
Psalms 62:10Usitumainie vya udhalimu 2 wala usijivune kwa vitu vya wizi; 1 ingawa utajiri wako utaongezeka, 2 usiviwekee moyo wako. 1
Daniel 4:32Utafukuzwa mbali na wanadamu, ukaishi pamoja na wanyama pori, na utakula manyasi kama ngʼombe. Nyakati saba zitapita juu yako, mpaka utakapokubali kuwa Yeye Aliye Juu Sana ndiye anayetawala juu ya falme za wanadamu, naye humtawaza yeyote amtakaye.”
2 Corinthians 12:11Nimekuwa mjinga, lakini ninyi mmenilazimisha niwe hivyo. Kwa kuwa ilinipasa kusifiwa na ninyi, kwa sababu mimi si dhalili kuliko wale “mitume walio bora,” ingawa mimi si kitu.