The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 40 › Isaya 40:26

Isaya 40:26

Inueni macho yenu mtazame mbinguni: 2 Ni nani aliyeumba hivi vyote? 1 Ni yeye aletaye nje jeshi la nyota moja baada ya nyingine 2 na kuziita kila moja kwa jina lake. 1 Kwa sababu ya uweza wake mkuu na nguvu zake kuu, 2 hakuna hata mojawapo inayokosekana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Lift up your eyes on high, and behold who hath created these things, that bringeth out their host by number: he calleth them all by names by the greatness of his might, for that he is strong in power; not one faileth.

In Context

25“Utanilinganisha mimi na nani? 2 Au ni nani anayelingana nami?” asema yeye Aliye Mtakatifu. 1

27Kwa nini unasema, ee Yakobo, 2 nanyi ee Israeli, kulalamika, 1 “Njia yangu imefichwa Bwana asiione, 2 Mungu wangu hajali shauri langu?” 1

Read all of Isaya 40

Cross References

Genesis 2:1Kwa hiyo mbingu na dunia zikakamilika, pamoja na vyote vilivyomo.

Job 31:26kama nimelitazama jua katika kungʼaa kwake 2 au mwezi ukienda kwa fahari yake, 1

Psalms 19:1Mbingu zinatangaza utukufu wa Mungu, 2 anga zahubiri kazi ya mikono yake. 1

Psalms 89:11Mbingu ni zako, nayo nchi pia ni yako, 2 uliuwekea ulimwengu msingi 2 pamoja na vyote vilivyomo. 1

Psalms 119:91Sheria zako zinadumu hadi leo, 2 kwa kuwa vitu vyote vinakutumikia. 1

Psalms 148:3Msifuni yeye, enyi jua na mwezi, 2 msifuni yeye, enyi nyota zote zingʼaazo. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 40:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 40:25Isaya 40Isaya 40:27 →