Isaiah 40:25
“Utanilinganisha mimi na nani? 2 Au ni nani anayelingana nami?” asema yeye Aliye Mtakatifu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
To whom then will ye liken me, or shall I be equal? saith the Holy One.
In Context
Cross References
Deuteronomy 4:15Hamkuona umbo la aina yoyote siku ambayo Bwana alizungumza nanyi kule Horebu kutoka kwenye moto. Kwa hiyo mjihadhari kwa uangalifu sana,
Deuteronomy 5:8Usijitengenezee sanamu katika umbo la kitu chochote kilicho juu mbinguni au duniani chini au ndani ya maji.
Psalms 89:7Katika kusanyiko la watakatifu, Mungu huogopwa sana, 2 anahofiwa kuliko wote wanaomzunguka. 1
Isaiah 46:5“Mtanilinganisha na nani, au mtanihesabu kuwa sawa na nani? 2 Ni nani mtakayenifananisha naye ili tuweze kulinganishwa? 1