The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 41 › Isaya 41:26

Isaya 41:26

Ni nani aliyenena hili tokea mwanzoni, ili tupate kujua, 2 au kabla, ili tuweze kusema, ‘Alikuwa sawa’? 1 Hakuna aliyenena hili, 2 hakuna aliyetangulia kusema hili, 2 hakuna yeyote aliyesikia maneno kutoka kwenu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Who hath declared from the beginning, that we may know? and beforetime, that we may say, He is righteous? yea, there is none that sheweth, yea, there is none that declareth, yea, there is none that heareth your words.

In Context

25“Nimemchochea mtu mmoja kutoka kaskazini, 2 naye yuaja, mmoja toka mawio ya jua aliitaye Jina langu. 1 Huwakanyaga watawala kana kwamba ni matope, 2 kama mfinyanzi akanyagavyo udongo wa kufinyangia. 1

27Nilikuwa wa kwanza kumwambia Sayuni, 2 ‘Tazama, wako hapa!’ 2 Nilimpa Yerusalemu mjumbe wa habari njema. 1

Read all of Isaya 41

Cross References

Isaiah 43:9Mataifa yote yanakutanika pamoja, 2 na makabila yanakusanyika. 1 Ni nani miongoni mwao aliyetangulia kutuambia haya, 2 na kututangazia mambo yaliyopita? 1 Walete mashahidi wao ili kuwathibitisha kuwa walikuwa sahihi, 2 ili wengine waweze kusikia, waseme, “Ni kweli.” 1

Isaiah 45:21Tangazeni litakalokuwepo, lisemeni hilo, 2 wao na wafanye shauri pamoja. 1 Ni nani aliyetangulia kusema hili tangu zamani, 2 aliyetangaza tangu zamani za kale? 1 Je, haikuwa Mimi, Bwana? 2 Wala hapana Mungu mwingine 2 zaidi yangu mimi, 1 Mungu mwenye haki na Mwokozi; 2 hapana mwingine ila mimi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 41:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 41:25Isaya 41Isaya 41:27 →