The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 43 › Isaya 43:9

Isaya 43:9

Mataifa yote yanakutanika pamoja, 2 na makabila yanakusanyika. 1 Ni nani miongoni mwao aliyetangulia kutuambia haya, 2 na kututangazia mambo yaliyopita? 1 Walete mashahidi wao ili kuwathibitisha kuwa walikuwa sahihi, 2 ili wengine waweze kusikia, waseme, “Ni kweli.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Let all the nations be gathered together, and let the people be assembled: who among them can declare this, and shew us former things? let them bring forth their witnesses, that they may be justified: or let them hear, and say, It is truth.

In Context

8Uwaongoze wale wenye macho lakini hawaoni, 2 wenye masikio lakini hawasikii. 1

10“Ninyi ni mashahidi wangu,” asema Bwana, 2 “na mtumishi wangu niliyemchagua, 1 ili mpate kunijua na kuniamini, 2 na kutambua kwamba Mimi ndiye. 1 Kabla yangu hakuna mungu aliyefanyizwa, 2 wala hatakuwepo mwingine baada yangu. 1

Read all of Isaya 43

Cross References

Joshua 24:15Lakini msipoona vyema kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia, kama ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ngʼambo Frati, au miungu ya Waamori, ambao mnakaa katika nchi yao. Lakini mimi na nyumba yangu, tutamtumikia Bwana.”

1 Kings 18:36Wakati wa kutoa dhabihu ya jioni, nabii Eliya akasogea mbele na kuomba, akisema: “Ee Bwana, Mungu wa Abrahamu, na Isaki na Israeli, ijulikane leo kwamba wewe ndiye Mungu katika Israeli na ya kwamba mimi ni mtumishi wako na nimefanya mambo haya yote kwa neno lako.

Psalms 50:1Mwenye Nguvu, Mungu, Bwana, 2 asema na kuiita dunia, 1 tangu mawio ya jua 2 hadi mahali pake liendapo kutua. 1

Isaiah 41:21Bwana asema, “Leta shauri lako. 2 Toa hoja yako,” asema Mfalme wa Yakobo. 1

Isaiah 43:26Tafakari mambo yaliyopita, 2 njoo na tuhojiane, 2 leta shauri lako uweze kupewa haki yako. 1

Isaiah 44:7Ni nani basi aliye kama mimi? Yeye na atangaze. 2 Yeye atangaze na kuweka mbele yangu 1 ni kitu gani kilichotokea tangu nilipoumba watu wangu wa kale, 2 tena ni nini kitakachotokea: 2 naam, yeye na atoe unabii ni nini kitakachokuja. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 43:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 43:8Isaya 43Isaya 43:10 →