The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 42 › Isaya 42:10

Isaya 42:10

Mwimbieni Bwana wimbo mpya, 2 sifa zake toka miisho ya dunia, 1 ninyi mshukao chini baharini, 2 na vyote vilivyomo ndani yake, 2 enyi visiwa na wote wakaao ndani yake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Sing unto the LORD a new song, and his praise from the end of the earth, ye that go down to the sea, and all that is therein; the isles, and the inhabitants thereof.

In Context

9Tazama, mambo ya kwanza yametokea, 2 nami natangaza mambo mapya; 1 kabla hayajatokea 2 nawatangazia habari zake.” 1 Wimbo Wa Kumsifu Bwana 1

11Jangwa na miji yake na vipaze sauti zao; 2 makao anamoishi Kedari na yashangilie. 1 Watu wa Sela waimbe kwa furaha, 2 na wapige kelele kutoka vilele vya milima. 1

Read all of Isaya 42

Cross References

1 Chronicles 16:32Bahari na ivume, na vyote vilivyomo ndani yake; 2 mashamba na yashangilie, na vyote vilivyomo ndani yake. 1

Psalms 40:3Akaweka wimbo mpya kinywani mwangu, 2 wimbo wa sifa kwa Mungu wetu. 1 Wengi wataona na kuogopa 2 na kuweka tumaini lao kwa Bwana. 1

Psalms 96:11Mbingu na zishangilie, nchi na ifurahi; 2 bahari na ivume, na vyote vilivyomo ndani yake; 1

Psalms 98:1Mwimbieni Bwana wimbo mpya, 2 kwa maana ametenda mambo ya ajabu; 1 kitanga chake cha kuume na mkono wake mtakatifu 2 umemfanyia wokovu. 1

Psalms 117:1Msifuni Bwana, enyi mataifa yote; 2 mtukuzeni yeye, enyi watu wote. 1

Psalms 150:6Kila chenye pumzi na kimsifu Bwana. 2 Msifuni Bwana!

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 42:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 42:9Isaya 42Isaya 42:11 →