Isaya 42:11
Jangwa na miji yake na vipaze sauti zao; 2 makao anamoishi Kedari na yashangilie. 1 Watu wa Sela waimbe kwa furaha, 2 na wapige kelele kutoka vilele vya milima. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Wampe Bwana utukufu, 2 na kutangaza sifa zake katika visiwa. 1
Cross References
Genesis 25:23Bwana akamjibu, 1 “Mataifa mawili yamo tumboni mwako, 2 na mataifa hayo mawili 2 kutoka ndani yako watatenganishwa. 1 Mmoja atakuwa na nguvu zaidi kuliko mwingine, 2 na yule mkubwa atamtumikia yule mdogo.”
Psalms 120:5Ole wangu kwa kuwa naishi Mesheki, 2 kwamba naishi katikati ya hema za Kedari! 1
Isaiah 21:16Hili ndilo Bwana analoniambia: “Katika muda wa mwaka mmoja, kama vile mtumishi aliyefungwa na mkataba angeihesabu, majivuno yote ya Kedari yatafikia mwisho.
Isaiah 35:1Jangwa na nchi kame vitafurahi; 2 nyika itashangilia na kuchanua maua. 1 Kama waridi,
Isaiah 40:3Sauti ya mtu aliaye: 2 “Itengenezeni jangwani njia ya Bwana, 1 nyoosheni njia kuu nyikani 2 kwa ajili ya Mungu wetu. 1
Isaiah 43:19Tazama, nitafanya jambo jipya! 2 Sasa litachipuka, je, hamtalitambua? 1 Nitafanya njia jangwani 2 na vijito vya maji katika nchi kame. 1