Isaiah 42:2
Hatapaza sauti wala kupiga kelele, 2 wala hataiinua sauti yake barabarani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He shall not cry, nor lift up, nor cause his voice to be heard in the street.
In Context
3Mwanzi uliopondeka hatauvunja, 2 na utambi unaofuka moshi hatauzima. 1 Kwa uaminifu ataleta haki, 2
Cross References
Zechariah 9:9Shangilia sana, ee Binti Sayuni! 2 Piga kelele, Binti Yerusalemu! 1 Tazama, Mfalme wako anakuja kwako, 2 ni mwenye haki, naye ana wokovu, 2 ni mpole, naye amepanda punda, 2 mwana-punda, mtoto wa punda. 1
Matthew 12:16akiwakataza wasiseme yeye ni nani.
2 Timothy 2:24Tena haimpasi mtumishi wa Bwana kuwa mgomvi, bali inampasa awe mwema kwa kila mtu, awezaye kufundisha, tena mvumilivu.