Isaiah 42:3
Mwanzi uliopondeka hatauvunja, 2 na utambi unaofuka moshi hatauzima. 1 Kwa uaminifu ataleta haki, 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Hatapaza sauti wala kupiga kelele, 2 wala hataiinua sauti yake barabarani. 1
Cross References
Psalms 72:2Atawaamua watu wako kwa haki, 2 watu wako walioonewa kwa haki. 1
Psalms 96:13itaimba mbele za Bwana kwa maana anakuja, 2 anakuja kuihukumu dunia. 1 Ataihukumu dunia kwa haki, 2 na mataifa katika kweli yake.
Psalms 103:13Kama baba alivyo na huruma kwa watoto wake, 2 ndivyo Bwana anavyowahurumia wale wanaomcha; 1
Isaiah 2:4Atahukumu kati ya mataifa 2 na ataamua migogoro ya mataifa mengi. 1 Watafua panga zao ziwe majembe, 2 na mikuki yao kuwa miundu ya kukata matawi. 1 Taifa halitainua upanga dhidi ya taifa jingine, 2 wala hawatajifunza vita tena. 1
Isaiah 35:3Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, 2 yafanyeni imara magoti yaliyolegea, 1
Isaiah 40:29Huwapa nguvu waliolegea 2 na huongeza nguvu za wadhaifu. 1