Isaiah 43:21
watu wale niliowaumba kwa ajili yangu, 2 ili wapate kutangaza sifa zangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
This people have I formed for myself; they shall shew forth my praise.
In Context
22“Hata hivyo hukuniita mimi, ee Yakobo, 2 hujajitaabisha kwa ajili yangu, ee Israeli. 1
Cross References
Psalms 4:3Fahamuni hakika kwamba Bwana amewatenga 2 wale wamchao kwa ajili yake; 2 Bwana atanisikia nimwitapo. 1
Psalms 102:18Hili na liandikwe kwa ajili ya kizazi kijacho, 2 ili taifa litakaloumbwa baadaye waweze kumsifu Bwana: 1
Proverbs 16:4Bwana hufanya kila kitu kwa kusudi lake mwenyewe; 2 hata waovu kwa siku ya maangamizi. 1
Isaiah 60:21Ndipo watu wako wote watakuwa waadilifu, 2 nao wataimiliki nchi milele. 1 Wao ni chipukizi nililolipanda, 2 kazi ya mikono yangu, 2 ili kuonyesha utukufu wangu. 1
Jeremiah 33:9Kisha mji huu utaniletea utukufu, furaha, sifa na heshima mbele ya mataifa yote ya dunia yatakayosikia mambo yote mazuri ninayoufanyia. Nao watashangaa na kutetemeka kwa ajili ya wingi wa mafanikio na amani nitakayoupatia.’
1 Corinthians 6:19Je, hamjui ya kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu akaaye ndani yenu, ambaye mmepewa na Mungu? Ninyi si mali yenu wenyewe,