Proverbs 16:4
Bwana hufanya kila kitu kwa kusudi lake mwenyewe; 2 hata waovu kwa siku ya maangamizi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The LORD hath made all things for himself: yea, even the wicked for the day of evil.
In Context
3Mkabidhi Bwana lolote ufanyalo, 2 nayo mipango yako itafanikiwa. 1
Cross References
Job 21:30kwamba mtu mwovu huepushwa kutoka siku ya maafa, 2 kwamba huokolewa kutoka siku ya ghadhabu? 1
Isaiah 43:21watu wale niliowaumba kwa ajili yangu, 2 ili wapate kutangaza sifa zangu. 1
Romans 11:36Kwa maana vitu vyote vyatoka kwake, viko kwake na kwa ajili yake. 2 Utukufu ni wake milele! Amen.
2 Peter 2:3Nao katika tamaa zao mbaya, walimu hawa watajipatia faida kwenu kwa hadithi walizotunga wenyewe. Lakini hukumu imekwisha kutangazwa dhidi yao tangu zamani, wala uangamivu wao haujalala usingizi.
Revelation 4:11“Bwana wetu na Mungu wetu, 2 wewe unastahili kupokea utukufu 2 na heshima na uweza, 1 kwa maana ndiwe uliyeviumba vitu vyote, 2 na kwa mapenzi yako viliumbwa 2 na vimekuwako.”