Isaya 43:28
Kwa hiyo nitawaaibisha wakuu wa Hekalu lako, 2 nami nitamtoa Yakobo aangamizwe, 2 na Israeli adhihakiwe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
27Baba yako wa kwanza alitenda dhambi, 2 wasemaji wako wameasi dhidi yangu. 1
Cross References
Deuteronomy 29:21Bwana atamtwaa peke yake kutoka makabila ya Israeli kwa maangamizo, kulingana na laana zote za Agano zilizoandikwa kwenye Kitabu hiki cha Sheria.
1 Chronicles 24:5Waliwagawanya bila upendeleo kwa kupiga kura, kwa kuwa kulikuwa na maafisa wa mahali patakatifu na maafisa wa Mungu miongoni mwa wazao wale wa Eleazari na wale wa Ithamari.
Psalms 79:4Tumekuwa kitu cha aibu kwa jirani zetu, 2 cha dharau na mzaha kwa wale wanaotuzunguka. 1
Psalms 89:39Umelikana agano lako na mtumishi wako, 2 na umeinajisi taji yake mavumbini. 1
Isaiah 47:6Niliwakasirikia watu wangu 2 na kuaibisha urithi wangu; 1 niliwatia mikononi mwako, 2 nawe hukuwaonea huruma. 1 Hata juu ya wazee 2 uliweka nira nzito sana. 1
Jeremiah 24:9Nitawafanya kuwa chukizo kabisa na kitu cha kulaumiwa katika mataifa yote ya dunia, watakuwa aibu na kitu cha kudharauliwa, chombo cha dhihaka na kulaaniwa, popote nitakapowafukuzia.