Zaburi 89:39
Umelikana agano lako na mtumishi wako, 2 na umeinajisi taji yake mavumbini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
38Lakini wewe umemkataa, umemdharau, 2 umemkasirikia sana mpakwa mafuta wako. 1
40Umebomoa kuta zake zote, 2 na ngome zake zote umezifanya kuwa magofu. 1
Cross References
Psalms 44:10Umetufanya turudi nyuma mbele ya adui, 2 nao watesi wetu wametuteka nyara. 1
Psalms 74:7Waliteketeza kabisa mahali pako patakatifu, 2 wakayanajisi makao ya Jina lako. 1
Psalms 89:34Mimi sitavunja agano langu 2 wala sitabadili lile ambalo midomo yangu imelitamka. 1
Psalms 116:11Katika taabu yangu nilisema, 2 “Wanadamu wote ni waongo.” 1
Isaiah 25:12Atabomoa kuta ndefu za maboma yako 2 na kuziangusha chini, 1 atazishusha chini ardhini, 2 mpaka mavumbini kabisa.
Lamentations 5:16Taji imeanguka kutoka kichwani petu. 2 Ole wetu, kwa maana tumetenda dhambi! 1