bible.software › Isaya › Isaya 44 › Isaya 44:16
Isaya 44:16
Sehemu ya kuni huziweka motoni, 2 akapikia chakula chake, 2 hubanika nyama na kula hadi ashibe. 1 Huota moto na kusema, 2 “Aha! Ninahisi joto, ninaona moto.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He burneth part thereof in the fire; with part thereof he eateth flesh; he roasteth roast, and is satisfied: yea, he warmeth himself, and saith, Aha, I am warm, I have seen the fire:
In Context
15Ni kuni ya binadamu: 2 yeye huchukua baadhi yake na kuota moto, 2 huwasha moto na kuoka mkate. 1 Lakini pia huutumia kumtengeneza mungu na akamwabudu, 2 huitengeneza sanamu na kuisujudia. 1
17Mabaki yake hutengeneza mungu, sanamu yake; 2 yeye huisujudia na kuiabudu. 1 Huiomba na kusema, 2 “Niokoe; wewe ni mungu wangu.” 1
Read all of Isaya 44
Cross References
2 Chronicles 32:19Wakanena juu ya Mungu wa Yerusalemu kama vile walivyonena juu ya miungu ya mataifa mengine ya dunia ambayo ni kazi ya mikono ya wanadamu.
This Verse In Other Editions
Study Isaya 44:16