Isaya 44:17
Mabaki yake hutengeneza mungu, sanamu yake; 2 yeye huisujudia na kuiabudu. 1 Huiomba na kusema, 2 “Niokoe; wewe ni mungu wangu.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 2:8Nchi yao imejaa sanamu, 2 wanasujudia kazi za mikono yao, 2 vitu vile vidole vyao vimevitengeneza. 1
Isaiah 37:38Siku moja, alipokuwa akiabudu katika hekalu la mungu wake Nisroki, wanawe Adrameleki na Shareza wakamuua kwa upanga, nao wakakimbilia nchi ya Ararati. Naye Esar-Hadoni mwanawe akawa mfalme badala yake.
Isaiah 46:6Wengine humwaga dhahabu kutoka kwenye mifuko yao, 2 na kupima fedha kwenye mizani; 1 huajiri mfua dhahabu kutengeneza mungu, 2 kisha huisujudia na kuiabudu. 1
Daniel 3:17Ikiwa tutatupwa ndani ya tanuru iwakayo moto, Mungu tunayemtumikia anaweza kutuokoa na moto, naye atatuokoa kutoka mkononi mwako, ee mfalme.
Daniel 6:16Basi mfalme akatoa amri, nao wakamleta Danieli, na wakamtupa ndani ya tundu la simba. Mfalme akamwambia Danieli, “Mungu wako unayemtumikia daima na akuokoe!”
Daniel 6:27Huponya na kuokoa; 2 hufanya ishara na maajabu 2 mbinguni na duniani. 1 Amemwokoa Danieli 2 kutoka nguvu za simba.”