The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 45 › Isaiah 45:23

Isaiah 45:23

Nimeapa kwa nafsi yangu, 2 kinywa changu kimenena katika uadilifu wote 2 neno ambalo halitatanguka: 1 Kila goti litapigwa mbele zangu, 2 kwangu mimi kila ulimi utaapa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I have sworn by myself, the word is gone out of my mouth in righteousness, and shall not return, That unto me every knee shall bow, every tongue shall swear.

In Context

22“Nigeukieni mimi, nanyi mkaokolewe, 2 enyi miisho yote ya dunia; 1 kwa maana mimi ndimi Mungu, 2 wala hapana mwingine. 1

24Watasema kuhusu mimi, 2 ‘Katika Bwana peke yake 2 ndiko kuna haki na nguvu.’ ” 1 Wote ambao wamemkasirikia Mungu 2 watamjia yeye, nao watatahayarika. 1

Read all of Isaiah 45

Cross References

Genesis 22:16akasema, “Ninaapa kwa nafsi yangu, asema Bwana, kwamba kwa sababu umefanya jambo hili na hukunizuilia mwanao, mwana wako wa pekee,

Numbers 23:19Mungu si mtu, hata aseme uongo, 2 wala yeye si mwanadamu, hata ajute. 1 Je, anasema, kisha asitende? 2 Je, anaahidi, asitimize? 1

2 Chronicles 15:14Wakamwapia Bwana kwa sauti kuu, kwa kupiga kelele, tarumbeta na kwa mabaragumu.

Psalms 63:11Bali mfalme atafurahi katika Mungu, 2 wale wote waapao kwa jina la Mungu watamsifu, 2 bali vinywa vya waongo vitanyamazishwa.

Psalms 132:2Aliapa kiapo kwa Bwana 2 na akaweka nadhiri kwa Yule Mwenye Nguvu wa Yakobo: 1

Isaiah 21:17Wanaume wavutao pinde walionusurika, mashujaa wa Kedari, watakuwa wachache.” Bwana, Mungu wa Israeli, amesema.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 45:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 45:22Isaiah 45Isaiah 45:24 →