Genesis 22:16
akasema, “Ninaapa kwa nafsi yangu, asema Bwana, kwamba kwa sababu umefanya jambo hili na hukunizuilia mwanao, mwana wako wa pekee,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Basi malaika wa Bwana akamwita Abrahamu kutoka mbinguni mara ya pili,
Cross References
Genesis 12:2“Mimi nitakufanya taifa kubwa 2 na nitakubariki, 1 Nitalikuza jina lako, 2 nawe utakuwa baraka. 1
1 Chronicles 16:16agano alilolifanya na Abrahamu, 2 kiapo alichomwapia Isaki. 1
Isaiah 45:23Nimeapa kwa nafsi yangu, 2 kinywa changu kimenena katika uadilifu wote 2 neno ambalo halitatanguka: 1 Kila goti litapigwa mbele zangu, 2 kwangu mimi kila ulimi utaapa. 1
Jeremiah 49:13Ninaapa kwa nafsi yangu,” asema Bwana, “kwamba Bosra utakuwa magofu na kitu cha kutisha, cha aibu na cha kulaania; miji yake yote itakuwa magofu milele.” 1
Amos 6:8Bwana Mwenyezi ameapa kwa nafsi yake mwenyewe: Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote asema: 1 “Nachukia kiburi cha Yakobo, 2 nachukia ngome zake; 1 nitautoa mji wao na kila kitu 2 kilichomo ndani mwake.”
Luke 1:73kiapo alichomwapia baba yetu Abrahamu: 1