Isaya 45:5
Mimi ndimi Bwana, wala hakuna mwingine, 2 zaidi yangu hakuna Mungu. 1 Nitakutia nguvu, 2 ingawa wewe hujanitambua, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 4:39Kubalini na mweke moyoni leo kuwa Bwana ndiye Mungu mbinguni juu na duniani chini. Hakuna mwingine.
1 Kings 8:60ili kwamba mataifa yote ya dunia wajue kwamba Bwana ndiye Mungu na kwamba hakuna mwingine.
Job 12:18Huondoa pingu zilizofungwa na wafalme, 2 na kuwafunga mishipi ya kiunoni. 1
Psalms 18:32Mungu ndiye anivikaye nguvu 2 na kufanya njia yangu kuwa kamilifu. 1
Psalms 18:39Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita; 2 uliwafanya adui zangu wasujudu miguuni pangu. 1
Isaiah 22:21Nitamvika joho lako, nami nitamfunga mshipi wako kiunoni mwake, na kumkabidhi mamlaka yako. Yeye atakuwa baba kwa wale wanaoishi Yerusalemu na kwa nyumba ya Yuda.