Isaiah 45:4
Kwa ajili ya Yakobo mtumishi wangu, 2 Israeli niliyemchagua, 1 nimekuita wewe kwa jina lako, 2 na kukupa jina la heshima, 2 ingawa wewe hunitambui. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 105:6enyi wazao wa Abrahamu mtumishi wake, 2 enyi wana wa Yakobo, wateule wake. 1
Isaiah 43:3Kwa kuwa Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, Mwokozi wako. 1 Ninaitoa Misri kuwa fidia yako, 2 Kushi na Seba badala yako. 1
Isaiah 44:1“Lakini sasa sikiliza, ee Yakobo, mtumishi wangu, 2 Israeli, niliyemchagua. 1
Jeremiah 50:17“Israeli ni kundi lililotawanyika 2 ambalo simba wamelifukuzia mbali. 1 Wa kwanza kumla alikuwa mfalme wa Ashuru, 2 wa mwisho kuponda mifupa yake 2 alikuwa Nebukadneza mfalme wa Babeli.”
Mark 13:20Kama Bwana asingelifupisha siku hizo, kamwe asingeliokoka mtu yeyote. Lakini kwa ajili ya wateule, wale aliowachagua, amezifupisha siku hizo.
Romans 9:6Si kwamba Neno la Mungu limeshindwa. Kwa maana si kila Mwisraeli ambaye ni wa uzao utokanao na Israeli ni Mwisraeli halisi.