The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 47 › Isaya 47:15

Isaya 47:15

Hayo ndiyo yote wanayoweza kuwatendea ninyi, 2 hawa ambao umetaabika nao 2 na kufanya nao biashara tangu utoto. 1 Kila mmoja atatoroka; 2 hakuna yeyote awezaye kukuokoa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thus shall they be unto thee with whom thou hast laboured, even thy merchants, from thy youth: they shall wander every one to his quarter; none shall save thee.

In Context

14Hakika wako kama mabua makavu; 2 moto utawateketeza. 1 Hawawezi hata kujiokoa wao wenyewe 2 kutokana na nguvu za mwali wa moto. 1 Hapa hakuna makaa ya kumtia mtu yeyote joto; 2 hapa hakuna moto wa kuota. 1

Read all of Isaya 47

Cross References

Jeremiah 51:6“Kimbieni kutoka Babeli! 2 Okoeni maisha yenu! 2 Msiangamizwe kwa sababu ya dhambi zake. 1 Ni wakati wa kisasi cha Bwana, 2 atamlipa kile anachostahili. 1

Revelation 18:11“Wafanyabiashara wa dunia watalia na kumwomboleza kwa sababu hakuna anunuaye bidhaa zao tena:

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 47:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 47:14Isaya 47