Isaiah 49:15
“Je, mama aweza kumsahau mtoto 2 aliyeko matitini mwake akinyonya, 1 wala asiwe na huruma 2 juu ya mtoto aliyemzaa? 1 Ingawa anaweza kusahau, 2 mimi sitakusahau wewe! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Lakini Sayuni alisema, “ Bwana ameniacha, 2 Bwana amenisahau.” 1
Cross References
Leviticus 26:29Mtakula nyama ya wana wenu na nyama ya binti zenu.
1 Samuel 12:22Kwa ajili ya jina lake kuu Bwana hatawakataa watu wake, kwa sababu ilimpendeza Bwana kuwafanya kuwa wake mwenyewe.
2 Kings 6:28Kisha akamuuliza, “Kwani kuna nini?” Yule mwanamke akamjibu, “Huyu mwanamke aliniambia, ‘Mtoe mwanao ili tupate kumla leo, na kesho tutamla mwanangu.’
Psalms 103:13Kama baba alivyo na huruma kwa watoto wake, 2 ndivyo Bwana anavyowahurumia wale wanaomcha; 1
Isaiah 44:21“Ee Yakobo, kumbuka mambo haya, 2 ee Israeli, kwa kuwa wewe ni mtumishi wangu. 1 Nimekuumba wewe, wewe ni mtumishi wangu. 2 Ee Israeli, sitakusahau. 1
Jeremiah 31:20Je, Efraimu si mwanangu mpendwa, 2 mtoto ninayependezwa naye? 1 Ingawa mara kwa mara ninanena dhidi yake, 2 bado ninamkumbuka. 1 Kwa hiyo moyo wangu unamwonea shauku, 2 nina huruma kubwa kwa ajili yake,” 4 asema Bwana. 1