The Bible Software
bible.softwareWalawiWalawi 26 › Walawi 26:29

Walawi 26:29

Mtakula nyama ya wana wenu na nyama ya binti zenu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And ye shall eat the flesh of your sons, and the flesh of your daughters shall ye eat.

In Context

28ndipo katika hasira yangu nitaweka uadui nanyi, nami mwenyewe nitawaadhibu mara saba kwa ajili ya dhambi zenu.

30Nitapaharibu mahali penu pa juu pa kuabudia miungu, nibomoe madhabahu zenu za kufukizia uvumba, na kuzilundika maiti zenu juu ya sanamu zenu zisizo na uhai, nami nitawachukia ninyi sana.

Read all of Walawi 26

Cross References

2 Kings 6:28Kisha akamuuliza, “Kwani kuna nini?” Yule mwanamke akamjibu, “Huyu mwanamke aliniambia, ‘Mtoe mwanao ili tupate kumla leo, na kesho tutamla mwanangu.’

Jeremiah 19:9Nitawafanya wao kula nyama ya wana wao na binti zao; kila mmoja atakula nyama ya mwenzake wakati wa dhiki ya kuzungukwa na jeshi lililowekwa juu yao na adui wanaotafuta uhai wao.’

Lamentations 4:10Kwa mikono yao wenyewe wanawake wenye huruma 2 wanapika watoto wao wenyewe, 1 waliokuwa chakula chao 2 watu wangu walipoangamizwa. 1

Matthew 24:19Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo!

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Walawi 26:29

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Walawi 26:28Walawi 26Walawi 26:30 →