Isaiah 49:8
Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Wakati wangu uliokubalika nitakujibu, 2 nami katika siku ya wokovu nitakusaidia; 1 nitakuhifadhi, nami nitakufanya 2 kuwa agano kwa ajili ya watu, 1 ili kurudisha nchi 2 na kugawanyia urithi tena wale waliokuwa ukiwa, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 2:8Niombe, nami nitayafanya mataifa 2 kuwa urithi wako, 2 miisho ya dunia kuwa milki yako. 1
Psalms 75:3Wakati dunia na watu wake wote inapotetemeka, 2 ni mimi ninayezishikilia nguzo zake imara. 1
Isaiah 42:1“Huyu hapa mtumishi wangu, ninayemtegemeza, 2 mteule wangu, ambaye ninapendezwa naye; 1 nitaweka Roho yangu juu yake, 2 naye ataleta haki kwa mataifa. 1
Isaiah 44:26niyathibitishaye maneno ya watumishi wake, 2 na kutimiza utabiri wa wajumbe wake, 1 “niambiaye Yerusalemu, ‘Itakaliwa na watu,’ 2 niambiaye miji ya Yuda kuwa, ‘Itajengwa,’ 2 na kuhusu magofu yake, ‘Mimi nitayatengeneza,’ 1
Isaiah 50:7Kwa sababu Bwana Mwenyezi ananisaidia, 2 sitatahayarika. 1 Kwa hiyo nimekaza uso wangu kama jiwe la gumegume, 2 nami ninajua sitaaibika. 1
Isaiah 51:16Nimeweka maneno yangu kinywani mwako 2 na kukufunika kwa uvuli wa mkono wangu: 1 Mimi niliyeweka mbingu mahali pake, 2 niliyeweka misingi ya dunia, 1 niwaambiaye Sayuni, 2 ‘Ninyi ni watu wangu.’ ” 1 Kikombe Cha Ghadhabu Ya Bwana 1