The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 49 › Isaiah 49:7

Isaiah 49:7

Hili ndilo asemalo Bwana, 2 yeye Mkombozi na Aliye Mtakatifu wa Israeli, 1 kwake yeye aliyedharauliwa na kuchukiwa na taifa, 2 kwa mtumishi wa watawala: 1 “Wafalme watakuona na kusimama, 2 wakuu wataona na kuanguka kifudifudi, 1 kwa sababu ya Bwana, aliye mwaminifu, 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, aliyekuchagua wewe.” 1 Kurejezwa Kwa Israeli

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thus saith the LORD, the Redeemer of Israel, and his Holy One, to him whom man despiseth, to him whom the nation abhorreth, to a servant of rulers, Kings shall see and arise, princes also shall worship, because of the LORD that is faithful, and the Holy One of Israel, and he shall choose thee.

In Context

6yeye asema: 1 “Je, ni jambo dogo sana wewe kuwa mtumishi wangu 2 ili kurejeza makabila ya Yakobo, 2 na kuwarudisha wale Waisraeli niliowahifadhi? 1 Pia nitakufanya uwe nuru kwa ajili ya watu wa Mataifa, 2 ili upate kuleta wokovu wangu hata miisho ya dunia.” 1

8Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Wakati wangu uliokubalika nitakujibu, 2 nami katika siku ya wokovu nitakusaidia; 1 nitakuhifadhi, nami nitakufanya 2 kuwa agano kwa ajili ya watu, 1 ili kurudisha nchi 2 na kugawanyia urithi tena wale waliokuwa ukiwa, 1

Read all of Isaiah 49

Cross References

Psalms 22:6Mimi ni mnyoo wala si mwanadamu, 2 wanaume wamenibeza, na watu wamenidharau. 1

Psalms 68:31Wajumbe watakuja kutoka Misri, 2 Kushi + 68:31 Kushi hapa ina maana maeneo ya Naili ya juu, yaani Ethiopia. atajisalimisha kwa Mungu. 1

Psalms 69:19Unajua jinsi ninavyodharauliwa, 2 kufedheheshwa na kuaibishwa, 2 adui zangu wote unawajua. 1

Psalms 72:11Wafalme wote watamsujudia 2 na mataifa yote yatamtumikia. 1

Isaiah 48:7Yameumbwa sasa, wala si tangu zamani; 2 hukupata kuyasikia kabla ya siku ya leo. 1 Hivyo huwezi kusema, 2 ‘Naam, niliyajua hayo.’ 1

Isaiah 49:1Nisikilizeni, enyi visiwa, sikieni hili, 2 ninyi mataifa mlio mbali: 1 Kabla sijazaliwa, Bwana aliniita, 2 tangu kuzaliwa kwangu, amelitaja jina langu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 49:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 49:6Isaiah 49Isaiah 49:8 →