Isaiah 5:22
Ole wao walio mashujaa kwa kunywa mvinyo, 2 nao walio hodari katika kuchanganya vileo, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Woe unto them that are mighty to drink wine, and men of strength to mingle strong drink:
In Context
21Ole wao walio na hekima machoni pao wenyewe, 2 na kujiona wenye akili machoni pao wenyewe. 1
23wale wanaoachilia wenye hatia kwa kupokea hongo, 2 lakini huwanyima haki wasio na hatia. 1
Cross References
1 Kings 20:16Wakaondoka wakati wa adhuhuri, Ben-Hadadi na wale wafalme thelathini na wawili walioungana naye walipokuwa katika mahema yao wakilewa.
Proverbs 31:5wasije wakanywa na kusahau vile sheria inavyoamuru 2 na kuwanyima haki zao wote walioonewa. 1
Isaiah 28:1Ole kwa lile taji la maua, kiburi cha walevi wa Efraimu, 2 kwa ua linalosinyaa, uzuri wa utukufu wake, 1 uliowekwa kwenye kichwa cha bonde lenye rutuba: 2 kwa ule mji, kiburi cha wale walioshushwa na mvinyo! 1
Isaiah 56:12Kila mmoja hulia, “Njooni, tupate mvinyo! 2 Tunywe kileo sana! 1 Kesho itakuwa kama leo, 2 au hata bora zaidi.”