Proverbs 31:5
wasije wakanywa na kusahau vile sheria inavyoamuru 2 na kuwanyima haki zao wote walioonewa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Lest they drink, and forget the law, and pervert the judgment of any of the afflicted.
In Context
6Wape kileo wale wanaoangamia, 2 mvinyo wale walio na uchungu, 1
Cross References
Isaiah 5:22Ole wao walio mashujaa kwa kunywa mvinyo, 2 nao walio hodari katika kuchanganya vileo, 1
Habakkuk 2:5hakika mvinyo humsaliti; 2 ni mwenye kiburi na hana amani. 1 Kwa sababu ni mlafi kama kuzimu 2 na kama kifo kamwe hatosheki; 1 anajikusanyia mataifa yote 2 na kuchukua watu wote mateka.