Isaya 5:24
Kwa hiyo, kama ndimi za moto zirambavyo nyasi, 2 na kama vile majani makavu yazamavyo katika miali ya moto, 1 ndivyo mizizi yao itakavyooza 2 na maua yao yatakavyopeperushwa kama mavumbi; 1 kwa kuwa wameikataa sheria ya Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 na kulisukumia mbali neno la Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23wale wanaoachilia wenye hatia kwa kupokea hongo, 2 lakini huwanyima haki wasio na hatia. 1
Cross References
Exodus 5:12Basi watu wakatawanyika kote nchini Misri kukusanya mabua ya kutumia badala ya nyasi.
Deuteronomy 28:24Bwana atafanya mvua ya nchi yako kuwa mavumbi na mchanga; vitakujia kutoka angani mpaka uangamie.
1 Samuel 15:26Lakini Samweli akamwambia, “Sitarudi pamoja nawe. Umelikataa neno la Bwana, naye Bwana amekukataa wewe, usiendelee kuwa mfalme juu ya Israeli!”
2 Kings 17:14Lakini hawakusikiliza, walikuwa na shingo ngumu kama baba zao, ambao hawakumtegemea Bwana Mungu wao.
Job 8:17huifunganisha mizizi yake kwenye lundo la mawe, 2 na kutafuta nafasi katikati ya mawe. 1
Psalms 50:17Unachukia mafundisho yangu 2 na kuyatupa maneno yangu nyuma yako. 1