Kutoka 5:12
Basi watu wakatawanyika kote nchini Misri kukusanya mabua ya kutumia badala ya nyasi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 15:7Katika ukuu wa utukufu wako, 2 ukawaangusha chini wale waliokupinga. 1 Uliachia hasira yako kali, 2 ikawateketeza kama kapi. 1
Isaiah 47:14Hakika wako kama mabua makavu; 2 moto utawateketeza. 1 Hawawezi hata kujiokoa wao wenyewe 2 kutokana na nguvu za mwali wa moto. 1 Hapa hakuna makaa ya kumtia mtu yeyote joto; 2 hapa hakuna moto wa kuota. 1
Obadiah 1:18Nyumba ya Yakobo itakuwa moto, 2 na nyumba ya Yosefu itakuwa mwali wa moto; 1 nayo nyumba ya Esau itakuwa bua kavu, 2 nao wataiwasha moto na kuiteketeza. 1 Hakutakuwa na watakaosalimika 2 kutoka nyumba ya Esau.” 4 Bwana amesema. 1
1 Corinthians 3:12Kama mtu yeyote akijenga juu ya msingi huu kwa kutumia dhahabu, fedha, vito vya thamani, miti, majani au nyasi,