The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 51 › Isaya 51:1

Isaya 51:1

“Nisikilizeni, ninyi mnaofuatia haki 2 na mnaomtafuta Bwana: 1 Tazameni mwamba ambako mlichongwa, 2 na mahali pa kuvunjia mawe ambako mlichimbwa; 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Hearken to me, ye that follow after righteousness, ye that seek the LORD: look unto the rock whence ye are hewn, and to the hole of the pit whence ye are digged.

In Context

2mwangalieni Abrahamu, baba yenu, 2 na Sara, ambaye aliwazaa. 1 Wakati nilipomwita alikuwa mmoja tu, 2 nami nikambariki na kumfanya kuwa wengi. 1

Read all of Isaya 51

Cross References

2 Chronicles 15:2Akatoka ili kumlaki Asa na kumwambia, “Nisikilizeni, Asa na Yuda wote na Benyamini. Bwana yu pamoja nanyi mkiwa pamoja naye. Kama mkimtafuta, ataonekana kwenu, lakini kama mkimwacha yeye, naye atawaacha ninyi.

Psalms 24:6Hiki ndicho kizazi cha wale wamtafutao, 2 wale wautafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo. 1

Psalms 105:3Lishangilieni jina lake takatifu, 2 mioyo ya wale wamtafutao Bwana na ifurahi. 1

Proverbs 21:21Yeye afuatiaye haki na upendo 2 hupata uzima, mafanikio na heshima. 1

Isaiah 46:3“Nisikilizeni mimi, ee nyumba ya Yakobo, 2 ninyi nyote mliobaki wa nyumba ya Israeli, 1 ninyi ambao nimewategemeza tangu mlipotungwa mimba, 2 nami nimewabeba tangu kuzaliwa kwenu. 1

Isaiah 48:12“Ee Yakobo, nisikilize mimi, 2 Israeli, ambaye nimekuita: 1 Mimi ndiye; 2 mimi ndimi mwanzo na mwisho. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 51:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Isaya 51Isaya 51:2 →