Isaiah 48:12
“Ee Yakobo, nisikilize mimi, 2 Israeli, ambaye nimekuita: 1 Mimi ndiye; 2 mimi ndimi mwanzo na mwisho. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hearken unto me, O Jacob and Israel, my called; I am he; I am the first, I also am the last.
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:39“Tazama basi, Mimi mwenyewe, Mimi Ndiye! 2 Hakuna mungu mwingine ila Mimi. 1 Mimi ninaua na Mimi ninafufua, 2 Mimi nimejeruhi na Mimi nitaponya, 2 wala hakuna awezaye kuokoa kutoka mkononi mwangu. 1
Proverbs 8:32“Basi sasa wanangu, nisikilizeni; 2 heri wale wanaozishika njia zangu. 1
Isaiah 41:4Ni nani aliyefanya jambo hili na kulitimiliza, 2 akiita vizazi tangu mwanzo? 1 Mimi, Bwana, ni wa kwanza 2 nami nitakuwa pamoja na wa mwisho: 2 mimi Bwana ndiye.” 1
Isaiah 44:1“Lakini sasa sikiliza, ee Yakobo, mtumishi wangu, 2 Israeli, niliyemchagua. 1
Isaiah 46:3“Nisikilizeni mimi, ee nyumba ya Yakobo, 2 ninyi nyote mliobaki wa nyumba ya Israeli, 1 ninyi ambao nimewategemeza tangu mlipotungwa mimba, 2 nami nimewabeba tangu kuzaliwa kwenu. 1
Isaiah 51:1“Nisikilizeni, ninyi mnaofuatia haki 2 na mnaomtafuta Bwana: 1 Tazameni mwamba ambako mlichongwa, 2 na mahali pa kuvunjia mawe ambako mlichimbwa; 1