Isaya 51:18
Kati ya wana wote aliowazaa 2 hakuwepo hata mmoja wa kumwongoza, 1 kati ya wana wote aliowalea 2 hakuwepo hata mmoja wa kumshika mkono. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 88:18Umeniondolea marafiki na wapendwa wangu; 2 giza limekuwa ndilo rafiki yangu wa karibu kuliko wote.
Isaiah 3:4Nitawafanya wavulana wawe maafisa wao, 2 watoto ndio watakaowatawala. 1
Isaiah 45:1“Hili ndilo asemalo Bwana kwa mpakwa mafuta wake, 2 Koreshi, ambaye nimemshika mkono wake wa kuume 1 kutiisha mataifa mbele yake 2 na kuwavua wafalme silaha zao, 1 kufungua milango mbele yake 2 ili malango yasije yakafungwa: 1
Jeremiah 10:20Hema langu limeangamizwa; 2 kamba zake zote zimekatwa. 1 Wana wangu wametekwa na hawapo tena; 2 hakuna hata mmoja aliyebaki wa kusimamisha hema langu 2 wala wa kusimamisha kibanda changu. 1
Ezekiel 34:6Kondoo wangu walitawanyika, wakatangatanga kwenye milima yote na kwenye kila kilima kirefu. Kondoo wangu walitawanyika juu ya uso wa dunia yote bila kuwa na yeyote wa kuwaulizia wala wa kuwatafuta.
Matthew 15:14Waacheni; wao ni viongozi vipofu, wanaoongoza vipofu. Kama kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, wote wawili watatumbukia shimoni.”