The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 51 › Isaya 51:3

Isaya 51:3

Hakika Bwana ataifariji Sayuni, 2 naye atayaangalia kwa huruma magofu yake yote; 1 atayafanya majangwa yake yawe kama Edeni, 2 nazo sehemu zake zisizolimika ziwe kama bustani ya Bwana. 1 Shangwe na furaha zitakuwako ndani yake, 2 shukrani na sauti za kuimba. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the LORD shall comfort Zion: he will comfort all her waste places; and he will make her wilderness like Eden, and her desert like the garden of the LORD; joy and gladness shall be found therein, thanksgiving, and the voice of melody.

In Context

2mwangalieni Abrahamu, baba yenu, 2 na Sara, ambaye aliwazaa. 1 Wakati nilipomwita alikuwa mmoja tu, 2 nami nikambariki na kumfanya kuwa wengi. 1

4“Nisikilizeni, watu wangu; 2 nisikieni, taifa langu: 1 Sheria itatoka kwangu; 2 haki yangu itakuwa nuru kwa mataifa. 1

Read all of Isaya 51

Cross References

Genesis 13:10Loti akatazama akaona lile bonde lote la Yordani kuwa lilikuwa na maji tele, kama bustani ya Bwana, kama nchi ya Misri, kuelekea Soari. (Hii ilikuwa kabla Bwana hajaharibu Sodoma na Gomora.)

Psalms 102:13Utainuka na kuihurumia Sayuni, 2 kwa maana ni wakati wa kumwonyesha wema; 2 wakati uliokubalika umewadia. 1

Isaiah 12:1Katika siku ile utasema: 1 “Nitakusifu wewe, Ee Bwana. 2 Ingawa ulinikasirikia, 1 hasira yako imegeukia mbali 2 nawe umenifariji. 1

Isaiah 35:1Jangwa na nchi kame vitafurahi; 2 nyika itashangilia na kuchanua maua. 1 Kama waridi,

Isaiah 40:1Wafarijini, wafarijini watu wangu, 2 asema Mungu wenu. 1

Isaiah 41:19Katika jangwa nitaotesha 2 mwerezi, mshita, mhadasi na mzeituni. 1 Nitaweka misunobari, mivinje na misanduku 2 pamoja huko nyikani, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 51:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 51:2Isaya 51Isaya 51:4 →