The Bible Software
bible.software › Zaburi › Zaburi 102 › Zaburi 102:13

Zaburi 102:13

Utainuka na kuihurumia Sayuni, 2 kwa maana ni wakati wa kumwonyesha wema; 2 wakati uliokubalika umewadia. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou shalt arise, and have mercy upon Zion: for the time to favour her, yea, the set time, is come.

In Context

12Lakini wewe, Ee Bwana, umeketi katika kiti chako cha enzi milele, 2 sifa zako za ukuu zaendelea vizazi vyote. 1

14Kwa maana mawe yake ni ya thamani kwa watumishi wako, 2 vumbi lake lenyewe hulionea huruma. 1

Read all of Zaburi 102

Cross References

Ezra 1:1Katika mwaka wa kwanza wa utawala wa Koreshi mfalme wa Uajemi, ili kulitimiza neno la Bwana lililosemwa na nabii Yeremia, Bwana aliusukuma moyo wa Koreshi mfalme wa Uajemi kutangaza katika himaya yake yote kwa maandishi:

Psalms 44:26Inuka na utusaidie, 2 utukomboe kwa sababu ya upendo wako usio na mwisho.

Psalms 69:35kwa maana Mungu ataiokoa Sayuni 2 na kuijenga tena miji ya Yuda. 1 Kisha watu watafanya makao yao humo na kuimiliki, 2

Psalms 90:2Kabla ya kuzaliwa milima 2 au hujaumba dunia na ulimwengu, 2 wewe ni Mungu tangu milele hata milele. 1

Psalms 135:13Ee Bwana, jina lako ladumu milele, 2 kumbukumbu za fahari zako, Ee Bwana, kwa vizazi vyote. 1

Isaiah 40:2Sema na Yerusalemu kwa upole, 2 umtangazie 1 kwamba kazi yake ngumu imekamilika, 2 kwamba dhambi yake imefanyiwa fidia, 1 kwamba amepokea kutoka mkononi mwa Bwana 2 maradufu kwa ajili ya dhambi zake zote. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 102:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 102:12Zaburi 102Zaburi 102:14 →