The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 52 › Isaiah 52:12

Isaiah 52:12

Lakini hamtaondoka kwa haraka, 2 wala hamtakwenda kwa kukimbia; 1 kwa maana Bwana atatangulia mbele yenu, 2 Mungu wa Israeli atakuwa mlinzi nyuma yenu. 1 Mateso Na Utukufu Wa Mtumishi 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For ye shall not go out with haste, nor go by flight: for the LORD will go before you; and the God of Israel will be your rereward.

In Context

11Ondokeni, ondokeni, tokeni huko! 2 Msiguse kitu chochote kilicho najisi! 1 Tokeni kati yake mwe safi, 2 ninyi mchukuao vyombo vya Bwana. 1

13Tazama, mtumishi wangu atatenda kwa hekima; 2 atatukuzwa, na kuinuliwa juu, na kukwezwa sana. 1

Read all of Isaiah 52

Cross References

Exodus 12:33Wamisri wakawahimiza Waisraeli waondoke kwa haraka na kuacha nchi yao. Kwa kuwa walisema, “La sivyo, tutakufa wote!”

Exodus 13:21Wakati wa mchana Bwana aliwatangulia kwa nguzo ya wingu kuwaongoza katika njia yao, na wakati wa usiku aliwatangulia kwa nguzo ya moto kuwaangazia, ili waweze kusafiri mchana au usiku.

Exodus 14:19Ndipo malaika wa Mungu, aliyekuwa akisafiri mbele ya jeshi la Israeli, akaondoka akakaa nyuma yao. Pia ile nguzo ya wingu ikaondoka hapo mbele yao na kusimama nyuma,

Deuteronomy 20:4Kwa kuwa Bwana Mungu wenu ndiye huenda pamoja nanyi kuwapigania dhidi ya adui zenu na kuwapatia ushindi.”

Judges 4:14Ndipo Debora akamwambia Baraka, “Nenda! Hii ndiyo siku ambayo Bwana amemtia Sisera mikononi mwako. Je, Bwana hakukutangulia mbele yako?” Hivyo Baraka akashuka kutoka Mlima Tabori, akifuatwa na watu 10,000.

Isaiah 28:16Kwa hiyo hivi ndivyo Bwana Mwenyezi asemavyo: 1 “Tazama, ninaweka jiwe katika Sayuni, 2 jiwe lililojaribiwa, 1 jiwe la pembeni la thamani kwa ajili ya msingi thabiti. 2 Yeye atumainiye kamwe hatatiwa hofu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 52:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 52:11Isaiah 52Isaiah 52:13 →