Isaiah 52:3
Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Mliuzwa pasipo malipo, 2 nanyi mtakombolewa bila fedha.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For thus saith the LORD, Ye have sold yourselves for nought; and ye shall be redeemed without money.
In Context
Cross References
Leviticus 25:54“ ‘Hata ikiwa hakukombolewa kwa njia mojawapo ya hizi, yeye na watoto wake wataachiwa katika Mwaka wa Yubile,
Psalms 44:13Umetufanya lawama kwa jirani zetu, 2 dharau na dhihaka kwa wale wanaotuzunguka. 1
Isaiah 50:1Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Iko wapi hati ya talaka ya mama yako 2 ambayo kwayo niliachana naye? 1 Au nimewauza ninyi kwa nani 2 miongoni mwa watu wanaonidai? 1 Kwa ajili ya dhambi zenu mliuzwa, 2 kwa sababu ya makosa, mama yenu aliachwa. 1
Romans 7:14Kwa maana tunajua kwamba sheria ni ya kiroho, lakini mimi ni wa kimwili nikiwa nimeuzwa kwenye utumwa wa dhambi.