Zaburi 44:13
Umetufanya lawama kwa jirani zetu, 2 dharau na dhihaka kwa wale wanaotuzunguka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou makest us a reproach to our neighbours, a scorn and a derision to them that are round about us.
In Context
12Umewauza watu wako kwa fedha kidogo, 2 wala hukupata faida yoyote kwa mauzo yao. 1
14Umetufanya kuwa mithali miongoni mwa mataifa, 2 mataifa hutikisa vichwa vyao. 1
Cross References
Deuteronomy 28:37Utakuwa kitu cha kuchukiza, tena kitu cha kudharauliwa na kudhihakiwa kwa mataifa yote huko Bwana atakakokupeleka.
Psalms 80:6Tumekuwa chanzo cha ugomvi kwa jirani zetu, 2 na adui zetu wanatudhihaki. 1
Psalms 89:51dhihaka ambazo kwazo adui zako 2 wamenisimanga, Ee Bwana, 1 ambazo kwazo wamesimanga 2 kila hatua ya mpakwa mafuta wako. 1
Isaiah 52:3Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Mliuzwa pasipo malipo, 2 nanyi mtakombolewa bila fedha.”
Jeremiah 48:27Je, Israeli hakuwa kitu chako cha kudhihakiwa? 2 Je, alikamatwa miongoni mwa wezi, 1 kiasi cha kutikisa kichwa chako kwa dharau 2 kila mara unapozungumza juu yake? 1