The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 52 › Isaiah 52:8

Isaiah 52:8

Sikiliza! Walinzi wako wanapaza sauti zao, 2 pamoja wanapaza sauti zao kwa furaha. 1 Wakati Bwana atakaporejea Sayuni, 2 wataliona kwa macho yao wenyewe. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thy watchmen shall lift up the voice; with the voice together shall they sing: for they shall see eye to eye, when the LORD shall bring again Zion.

In Context

7Tazama jinsi miguu ya wale waletao habari njema 2 ilivyo mizuri juu ya milima, 1 wale wanaotangaza amani, 2 wanaoleta habari njema, 2 wanaotangaza wokovu, 1 wauambiao Sayuni, 2 “Mungu wako anatawala!” 1

9Pazeni sauti ya nyimbo za furaha pamoja, 2 enyi magofu ya Yerusalemu, 1 kwa maana Bwana amewafariji watu wake, 2 ameikomboa Yerusalemu. 1

Read all of Isaiah 52

Cross References

Psalms 102:22wakati mataifa na falme zitakapokusanyika 2 ili kumwabudu Bwana. 1

Song of Solomon 5:7Walinzi walinikuta 2 walipokuwa wakifanya zamu za ulinzi mjini. 1 Walinipiga, wakanijeruhi, 2 wakaninyangʼanya joho langu, 2 hao walinzi wa kuta! 1

Isaiah 12:6Pazeni sauti mwimbe kwa furaha, watu wa Sayuni, 2 kwa maana mkuu ni yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli miongoni mwenu.”

Isaiah 26:1Katika siku ile, wimbo huu utaimbwa katika nchi ya Yuda: 1 Tuna mji ulio na nguvu, 2 Mungu huufanya wokovu kuwa kuta zake na maboma yake. 1

Isaiah 30:26Mwezi utaangaza kama jua, nao mwanga wa jua utangʼaa mara saba zaidi, kama nuru ya siku saba, wakati Bwana atakapoyafunga majeraha ya watu wake na kuwaponya vidonda alivyowatia. 1

Isaiah 40:9Wewe uletaye habari njema Sayuni, 2 panda juu ya mlima mrefu. 1 Wewe uletaye habari njema Yerusalemu, 2 inua sauti yako kwa kupiga kelele, 2 inua sauti, usiogope; 1 iambie miji ya Yuda, 2 “Yuko hapa Mungu wenu!” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 52:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 52:7Isaiah 52Isaiah 52:9 →