Isaya 26:1
Katika siku ile, wimbo huu utaimbwa katika nchi ya Yuda: 1 Tuna mji ulio na nguvu, 2 Mungu huufanya wokovu kuwa kuta zake na maboma yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Fungua malango ili taifa lenye haki lipate kuingia, 2 taifa lile lidumishalo imani. 1
Cross References
Exodus 15:2Bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu; 2 amekuwa wokovu wangu. 1 Yeye ni Mungu wangu, nami nitamsifu, 2 Mungu wa baba yangu, nami nitamtukuza. 1
Judges 5:1Ndipo Debora na Baraka mwana wa Abinoamu wakaimba wimbo huu: 1
Ezra 3:11Waliimba nyimbo za sifa na za shukrani kwa Bwana hivi: 1 “Yeye ni mwema; 2 upendo wake kwa Israeli 2 wadumu milele.” Watu wote wakapaza sauti kubwa za sifa kwa Bwana, kwa sababu msingi wa nyumba ya Bwana ulikuwa umewekwa.
Psalms 48:4Wakati wafalme walipounganisha nguvu, 2 waliposonga mbele pamoja, 1
Psalms 137:3kwa maana huko hao waliotuteka 2 walitaka tuwaimbie nyimbo, 1 watesi wetu walidai nyimbo za furaha; 2 walisema, “Tuimbieni wimbo mmoja kati ya nyimbo za Sayuni!” 1
Isaiah 2:20Siku ile, watu watawatupia 2 panya na popo 1 sanamu zao za fedha na za dhahabu, 2 walizozitengeneza ili waziabudu. 1